Ray Vanny na album yake mpya

Ray Vanny na album yake mpya

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

Mimi nimeona kama Ray vanny hajafanya vizuri kwenye album yake mpya.

Moja nyimbo nyigi ameshirikisha wasanii wengine wakubwa which is good strategically ila wamemfunika,lol.

Second, Rayvany ameimba tone ya chini sana sio kama tulivyomzoea,tumeshindwa kumtambua.

Next time Ray,be yourself,sauti yako original ndio inayotuvuta fans wako,sauti yako ndio brand yako.

Ni mawazo tu.
 
Hongera kwa kuliona hili Rebecca nilikuwa nije na uchambuzi kuhusu hii album baada ya kupata wasaha wakuisikiliza yote hakika naungana na wewe hii ndio album mbaya kabisa ukilinganisha na album za wasanii zilizotoka kwa hivi karibuni.
Hii album imejaa nyimbo ambazo hazina mvuto kusikiliza na hazina kitu kipya.
Album imejazwa nyimbo ambazo watulishazisikia kila leo...
Album haivutii kabisa kutaka kuisikiliza nafikiri hapa ilikuwa ni tatizo la timing ya kutoa album... kwa kifupi wamekurupuka sana.....
Pia kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na nyimbo zote vile hadi inachosha kabisa.....
Hii Album ina nyimbo mbili tuu ule wa jux na ule wa mboso.
Kifupi Rayvany katoa Album mbaya....... ni ukweli uliowazi hadi sasa Darassa na Harmonize ndio wana album nzuri na hazichoshi kusikiliza.
 
Hakika,

Wimbo niliyoipokea ni Señorita aliyomshirikisha Maitre GIMS, GIMS ameitendea haki na ameonyesha experience.

Kiasi wimbo wa Mama Ft. Saida Karoli unayo nguvu fulani hasa mpangilio na mtiririko.

Sikutegemea Enisa angefanya kituko kama hiki, ameharibu wimbo wote wa number one. Sio Enisa wa Karma Ft. Scridge, Love Cycle au Dumb Boy.

Binafsi hii ni 4/10.
 
Album Ni Ya Kawaida , Toka Wahanze Kuhuza Album Kupitia Digital Online Hakuna Album Kali Kama Ya Harmonize Japokuwa Sio Fan Wake Ila Alihitendea Haki Album Yake Ya Afro East , Darasa Nayo Album Yake Ni Kali
Mkuu zingatia matumizi ya "h".
 
Okay album ni mbaya ila kila mtu kwenye hiyo album anaorodhesha nyimbo anazozipenda [emoji23][emoji23]

Ukitaka kujua WCB wanaijua kazi yao angalia kila anaelalamika kuna taste yake kapewa.

Mwisho wa siku album inaendelea kukimbiza na itakimbiza sana. Kwa sasa mauzo yake yapo juu sana.

Mambo ya uchambuzi wa muziki waachieni wataalam hiyo album ni kali nawapa muda tu mtatoka kwenye denial na mtakubali.
 
Mama -Rayvanny ft Saida Kalori,hii nyimbo kali sana,Saida verse yake ni kali sana kamfunika mpaka Rayvanny.

Sometimes huwaga na jiuliza kuna wasanii wakongwe ni wakali sana,ila ndio hivyo system na washika dau hawawapi airtime ya kutosha.

Nyimbo nyingine ninazo zikubali ni Lala ft Jux na Zamani,ila kwangu mimi EP yake ilikuwa kali kuliko hii album na mwaka jana ndiyo iliyo zikimbiza EP na album zote kwenye digital platform.Sijajua hii album kama itaifunika Ep ya Flower.
 
Naona kwa nyimbo ambazo kila mtu ametaja kuna watu mmependa nyimbo tofauti tofauti, HUU NDIYO UBORA WA ALBUM YA RAYVAN kila mtu kapewa taste yake.

Na inakimbiza balaa, andikeni tu hapa lakini album yake ni kaliii.
 
Naona kila mtu kataja wimbo wake alioupenda na hazifanani...HUU NDIYO UBORA WA ALBUM YA RAYVAN kila mtu kapewa taste yake, huwezi kupenda album nzima we naniiii?.

ACHENI MAJUNGU FURAHIENI MZIKI MTAMU.
 
Mama -Rayvanny ft Saida Kalori,hii nyimbo kali sana,Saida verse yake ni kali sana kamfunika mpaka Rayvanny.

Sometimes huwaga na jiuliza kuna wasanii wakongwe ni wakali sana,ila ndio hivyo system na washika dau hawawapi airtime ya kutosha.

Nyimbo nyingine ninazo zikubali ni Lala ft Jux na Zamani,ila kwangu mimi EP yake ilikuwa kali kuliko hii album na mwaka jana ndiyo iliyo zikimbiza EP na album zote kwenye digital platform.Sijajua hii album kama itaifunika Ep ya Flower.
Ile EP ya FLOWERS Rayvanny alitulia sana..bonge la lovesongs EP
 
Naona kila mtu kataja wimbo wake alioupenda na hazifanani...HUU NDIYO UBORA WA ALBUM YA RAYVAN kila mtu kapewa taste yake, huwezi kupenda album nzima we naniiii?.

ACHENI MAJUNGU FURAHIENI MZIKI MTAMU.
Pia wakumbuke soko la digital sio lile la kuingiziwa nyimbo kwenye flash.

Unaweza ukajaza manyimbo yako ya kulialia ukaishia kula za uso uko digital.
 
Back
Top Bottom