Kichwa Ze Don
Senior Member
- Jun 7, 2017
- 198
- 321
Sipo DarasanMkuu zingatia matumizi ya "h".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo DarasanMkuu zingatia matumizi ya "h".
Nyegezi imo kwa album [emoji3][emoji3][emoji3] mana jama anapayukaga Ngoma zake zoteHello JF,
Mimi nimeona kama Ray vanny hajafanya vizuri kwenye album yake mpya.................
Moja nyimbo nyigi ameshirikisha wasanii wengine wakubwa which is good strategically ila wamemfunika,lol.................
Second, Rayvany ameimba tone ya chini sana sio kama tulivyomzoea,tumeshindwa kumtambua,..............
Next time Ray,be yourself,sauti yako original ndio inayotuvuta fans wako,sauti yako ndio brand yako.............
Ni mawazo tu.........................
umeongea point, wabongo ni wanafiki sana, maana album wanayosema mbaya katika tracklist kila aliyeponda kataja nyimbo anazozikubali kwenye album tofauti na mwenzie na kufanya nyimbo zote kutajwa. Ila angekuwa katoa burna boy asee ungesikia daah album kali kweli mchizi kaua asee.Okay album ni mbaya ila kila mtu kwenye hiyo album anaorodhesha nyimbo anazozipenda [emoji23][emoji23]
Ukitaka kujua WCB wanaijua kazi yao angalia kila anaelalamika kuna taste yake kapewa.
Mwisho wa siku album inaendelea kukimbiza na itakimbiza sana. Kwa sasa mauzo yake yapo juu sana.
Mambo ya uchambuzi wa muziki waachieni wataalam hiyo album ni kali nawapa muda tu mtatoka kwenye denial na mtakubali.
Haupo darasani?? Itakuwa unatumia huo mtindo wa kuweka "h" hata kwenye mazumgumzo.😎Sipo Darasan
Uyu anaponda wimbo huu wengine wanasifia ile... mwisho wa siku wanakamilisha album 😂😂😂😂very interestingOkay album ni mbaya ila kila mtu kwenye hiyo album anaorodhesha nyimbo anazozipenda [emoji23][emoji23]
Ukitaka kujua WCB wanaijua kazi yao angalia kila anaelalamika kuna taste yake kapewa.
Mwisho wa siku album inaendelea kukimbiza na itakimbiza sana. Kwa sasa mauzo yake yapo juu sana.
Mambo ya uchambuzi wa muziki waachieni wataalam hiyo album ni kali nawapa muda tu mtatoka kwenye denial na mtakubali.
Rayvanny ni msanii mzuri kwenye nyimbo za trend, matusi na kujisifia. Huwa anazidaka fresh.Hamna msanii hapo ni ile wcb inawabeba hata anachoimbaga huyu dogo ni utopolo tu
Bas van boy atakuw bonge la msanii , hyo angle unayomkubali wew mi huwa simuelew kabisa , Ila kwenye nyimbo zake za kubembeleza jamaa nampigia saluti aisee...Rayvanny ni msanii mzuri kwenye nyimbo za trend, matusi na kujisifia. Huwa anazidaka fresh.
Angalia Tetema, Natafuta Kiki, Pochi nene, Nyegezi, Salome.
Lakini Rayvanny ni mweupe sana kwenye mashairi yaliyoshiba.
Ukitaka kulijua hili sikiliza:
Paranawe feat Harmonize - Ngoma kali lakini Rayvanny kaimba humo utoto.
Mmmmhh - Ngoma ya Will paul, Melody iko poa lakini Rayvanny kaimba humo utoto mtupu.
Hakna lolote n maneno ya kujifariji tyuuh.Ukipenda hizi tatu, kuna mwingine kapenda nyingine 5, mwingine kapenda wimbo mmoja. Basi ilimradi album imemgusa kila mmoja.