Kila Mtu Akiimba Nan Atakuwa Mshabiki ...!Imba na wewe kama wafikiri ni rahisi...
Kaa kwa kutulia,album ni mbovu..Rayvanny kazi yake ni kudeliver muziki mzuri,akitoa boko ni lazima walaji wamchaneImba na wewe kama wafikiri ni rahisi...
Mkuu zingatia matumizi ya "h".Album Ni Ya Kawaida , Toka Wahanze Kuhuza Album Kupitia Digital Online Hakuna Album Kali Kama Ya Harmonize Japokuwa Sio Fan Wake Ila Alihitendea Haki Album Yake Ya Afro East , Darasa Nayo Album Yake Ni Kali
Ukipenda hizi tatu, kuna mwingine kapenda nyingine 5, mwingine kapenda wimbo mmoja. Basi ilimradi album imemgusa kila mmoja.Ukweli mchungu huu, WCB hawataki kuusikia.
Kwangu nilizozikubali ni hizi
Twerk ft Vanessa Mdee
Lala ft Jux
Juu ft Young Lunya
Ile EP ya FLOWERS Rayvanny alitulia sana..bonge la lovesongs EPMama -Rayvanny ft Saida Kalori,hii nyimbo kali sana,Saida verse yake ni kali sana kamfunika mpaka Rayvanny.
Sometimes huwaga na jiuliza kuna wasanii wakongwe ni wakali sana,ila ndio hivyo system na washika dau hawawapi airtime ya kutosha.
Nyimbo nyingine ninazo zikubali ni Lala ft Jux na Zamani,ila kwangu mimi EP yake ilikuwa kali kuliko hii album na mwaka jana ndiyo iliyo zikimbiza EP na album zote kwenye digital platform.Sijajua hii album kama itaifunika Ep ya Flower.
Pia wakumbuke soko la digital sio lile la kuingiziwa nyimbo kwenye flash.Naona kila mtu kataja wimbo wake alioupenda na hazifanani...HUU NDIYO UBORA WA ALBUM YA RAYVAN kila mtu kapewa taste yake, huwezi kupenda album nzima we naniiii?.
ACHENI MAJUNGU FURAHIENI MZIKI MTAMU.
Imba basi...Kaa kwa kutulia,album ni mbovu..Rayvanny kazi yake ni kudeliver muziki mzuri,akitoa boko ni lazima walaji wamchane