Ray Vanny na album yake mpya

Nyegezi imo kwa album [emoji3][emoji3][emoji3] mana jama anapayukaga Ngoma zake zote
 
umeongea point, wabongo ni wanafiki sana, maana album wanayosema mbaya katika tracklist kila aliyeponda kataja nyimbo anazozikubali kwenye album tofauti na mwenzie na kufanya nyimbo zote kutajwa. Ila angekuwa katoa burna boy asee ungesikia daah album kali kweli mchizi kaua asee.
 
Uyu anaponda wimbo huu wengine wanasifia ile... mwisho wa siku wanakamilisha album πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚very interesting
 
Hamna msanii hapo ni ile wcb inawabeba hata anachoimbaga huyu dogo ni utopolo tu
Rayvanny ni msanii mzuri kwenye nyimbo za trend, matusi na kujisifia. Huwa anazidaka fresh.

Angalia Tetema, Natafuta Kiki, Pochi nene, Nyegezi, Salome.

Lakini Rayvanny ni mweupe sana kwenye mashairi yaliyoshiba.

Ukitaka kulijua hili sikiliza:

Paranawe feat Harmonize - Ngoma kali lakini Rayvanny kaimba humo utoto.

Mmmmhh - Ngoma ya Will paul, Melody iko poa lakini Rayvanny kaimba humo utoto mtupu.
 
Bas van boy atakuw bonge la msanii , hyo angle unayomkubali wew mi huwa simuelew kabisa , Ila kwenye nyimbo zake za kubembeleza jamaa nampigia saluti aisee...
 
Ukipenda hizi tatu, kuna mwingine kapenda nyingine 5, mwingine kapenda wimbo mmoja. Basi ilimradi album imemgusa kila mmoja.
Hakna lolote n maneno ya kujifariji tyuuh.
Album mbovuuh bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…