muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Hiki kilinifanya niachane na show za wasanii. Bora niwacheki kwenye tv tu! Hii ilinitokea Moro miaka ya 2005 kina Daz Nundaz wanatuambia eti piga kelele, mie nipige kelele kweli?Hakuna lolote ,ndio wale wale NYOOSHA MKONO...
KUSHOTO....KULIA...KUSHOTO....KULIA
Ndio maana hawa wanaojiita wasanii bongo siwezi kutoa hela yangu kwenda kwenye tamasha lao.
Yaani nitoe hela yangu badala ya wewe kuimba unaniimbisha mimi kwa kuzima zima miziki na kunifanyisha mazoezi ya kunyoosha mikono KULIA KUSHOTO. Sio mimi