Ray Vanny, Next level C.E.O

Hiki kilinifanya niachane na show za wasanii. Bora niwacheki kwenye tv tu! Hii ilinitokea Moro miaka ya 2005 kina Daz Nundaz wanatuambia eti piga kelele, mie nipige kelele kweli?
 
Kwako lazima hata kama ni tamasha mbaya as long inaihusu Yanga lazima iwe namba moja
 
Na ukinyoosha mikono juu ukishusha watu wamelamba wallet na simu. Matamasha yenyewe vumbi tupu na vibaka kibao.

[emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
100% πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š
 
Hawa wasanii wana mambo mengi, wakati anaelekea huko Azam complex huo msururu wa magari na pikipiki wamevalia kama wanamsindikiza Rais wa nchi fulani.
 
Mkuu kweli huu mtazamo wako, ila sidhani kama wiki ya mwananchi iliizidi simba day
 
Nataka niwe chawa wa vanny boy nijitoe ufahamu wangu wote
 
Nikiangalia la simba. Aisee wasanii wetu wengi bado Sana. Labda maandalizi, uzoefu, uwezo, kipaji nk ktk suala la kutoa burudani ktk matamasha ya mpira.
Unajua mpira ni tofauti na tamasha la muziki. Ktk muziki unakutana na wapenzi wako wengi. Ktk mpira kuna watu hawafatilii muziki kwa kiasi kikubwa au kabisaaa...
Sasa kama msanii lazima ujue hadhira yako. Inshort niliona amepwaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…