Ray wa Bongo Movie kubadili dini soon

Ray wa Bongo Movie kubadili dini soon

Hivi ray, haka kademu kamemlisha nini
Umenifurahisha sana, hata sisi tunakushangaa ulivyonasa kwa demu wako ambaye wengi tumempangusa. Ni kawaida tu kama hujamkuta bikira basi kuna mtu kapita.
 
Mnaongea Ray kubadili dini wakati mwandishi kamalizia na jinsi Ray atakavyoigiza filam iitwayo daku!
 


BAADA kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu nyota wawili katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hansy , Chuchu anafunguka kwa kusema kuwa mpenzi wake huyo yupo mbioni kubadili dini na kumfuata yeye kwani tayari anafunga naye mwezi huu mtukufu.

“Ray ananisupport kufunga mwezi huu yupo sambamba nami kufuata taratibu za kidini hivyo Inshallah tukijali siku si nyingi atabadili dini na kufunga ndoa lazima anifuate mimi,” anasema Chuchu Hansy
Chuchu aliyasema hayo akiongelea filamu yake mpya anayotarajia kuingiza sokoni ya Usiku wa Daku ikiwa ni sinema ya Kidini akiwa ameitengeneza kwa kusaidiwa na Ray sinema hiyo imemshirikisha Hemed Suleiman na wasanii wengine.

Source: Bongo Movie
Inaelekea kaacha kunywa maji sasa maana ameanza kuwa mweusi.
 
Back
Top Bottom