hhhhhaaaahhhaaaa...!!!!!usimwamini sana ray ashawahi kudanganya taifa zima
mainda aliokoka kumfata ray,akaanza kutoka na johari na yy pia mwisho wa siku kampata chuchu anaslimu yyKipindi yupo na mainda pia aliokoka
hahahahaahaaaUmenifurahisha sana, hata sisi tunakushangaa ulivyonasa kwa demu wako ambaye wengi tumempangusa. Ni kawaida tu kama hujamkuta bikira basi kuna mtu kapita.
Asante nimepata kicheko cha morning..usimwamini sana ray ashawahi kudanganya taifa zima
Mainda alikuwa Muislam, akapigwa sound na Ray akaokoka akaachwa huko jamaa akapiga U turn.mainda aliokoka kumfata ray,akaanza kutoka na johari na yy pia mwisho wa siku kampata chuchu anaslimu yy
daah!mainda s yuko hali gani?
hahahahaahaaa
mtoto wa tanga huyo chuchu kwao mswambweni mambo yake mazito jaribu tanga siku na ww uoneHivi ray, haka kademu kamemlisha nini
Rucy suka ni muislamu??????[emoji144] [emoji144] [emoji144]Mainda alikuwa Muislam, akapigwa sound na Ray akaokoka akaachwa huko jamaa akapiga U turn.
usimwamini sana ray ashawahi kudanganya taifa zima
Huku hakuna cha msikiti wake! Mtu anaswali popote muda unapowadia.Akiisha ingia mpeni na msikiti wake kabisaaaa itapendeza mno. Kwani huku alikuwa anaingia kanisa gani hata mseme kabadili dini? Wengine wapagani tu
Hilo ndo jina analotumia baada ya kubadili dini, alikuwa Mwanaidi. Ni vema ungeuliza kabla ya hapo alikuwa anaitwa nani? Kizazi kibaya hiki.Rucy suka ni muislamu??????[emoji144] [emoji144] [emoji144]
hahaaa [emoji23] daaaah umenikamataausimwamini sana ray ashawahi kudanganya taifa zima
Hivi ray ni mchagaa [emoji79] Yesuu RuaaaWatu wanabadili kabila sembuse dini! Mchaga kawa Chinga original kabisa.
Mainda aliokoka ili kuacha dhambi na kumrudia Mungu sababu ray hakua mlokole.Mainda alikuwa Muislam, akapigwa sound na Ray akaokoka akaachwa huko jamaa akapiga U turn.