Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
nakupenda sana Numbisa but why hua hujielewi kiasi hiki mamiiiTatizo wema anataka kuabudiwa na kila mtu,alidhani atawapelekesha bongo movie kama anavyoipelekesha team yake wasiojielewa waleView attachment 492653View attachment 492655
Ok lov ila ubadilike banaaOoh waoow thank u ila nivumilie bana binadamu ndivyo tulivyo
Ok lov ila ubadilike banaa
Endelea ntakuonyeshaDuh! watu mnapigwa ban kisa Wema! mi siwezi
Hahahaaaah kubwa jinga lilinichekesha eti halimfaham roma duh sasa mamii na wewe usiwe na akili za ki lemutuz sawaUnataka niwe kama le mutuz?nimshobokee wema halafu nije niumbuliwe kwa post zangu za zamani?
Jamaa alisema hamfahamu roma ila kwa blog alishawahi kumuweka
Hahahaaaah kubwa jinga lilinichekesha eti halimfaham roma duh sasa mamii na wewe usiwe na akili za ki lemutuz sawa
Sijakuelewa kiki ipi ya wema unayoizungumziaAkili zangu nazijua bana yaan kuzibadili ngumu sana.roma kapatikana. Kiki ya wema imebuma
Sijakuelewa kiki ipi ya wema unayoizungumzia
Babe unazingua banaaHio ya kulaumu wenzie sababu kupotea kwa roma kisa wapo karibu na makonda.
Wema angeweza kutoa ya moyoni kuhusu kupotea kwa makonda bila kuwatolea povu bongo movie
Babe unazingua banaa
Sasa wema kuhoji kwanini wasanii bongo movie hawatoi ushirikiano kwa roma kupotea ndio anatafta kiki?? tuwe wakweli kwanza hakuna bongomovie anayemzidi wema u star wamekalia unafik tu wa kujipendekeza kwa viongozi
Me nimekuita Babe kwa upendo tu but nimegundua wewe ni mshamba coz mtu akikuita Babe si lazima awe mpenzi wako unaweza kumuita babe mtu unayemjali na kumcare ka mtoto but anyway tuishie hapa inaonekana una chuki zako bonsai na wema itakua ndio team mondi na zari coz sioni hata point uliyoandikaNani babe ako,niite mkuu bana usijenipeperushia bahati.
Wema huo ustaa umempatia nn,nyumba hana kakalia kupanga,gari hana mpaka ahongwe,ustaa wake umempatia dili gani hasa la maana,yaan kazidiwa hata na tiffa mtoto mwaka na ushee ni balozi wa duka kubwa.
Ndio kiki alioitafuta hapo,ina maana wasanii wangeacha kupost mambo yao muhimu kisa roma kapotea aiseee,anajikuta kiranja wa bongo movie kwa movie gani hasa!!?ile iliyotupwa jalalan na van vicker?
Aaaah, lol@@Acha nikae kimya$$$$$
Warumi dada umekula ban sio aya ugua pole