lucas mollel
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 255
- 133
Akaungane na nape kule mtama kuwadanganya wamakonde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.... Au unasubiri Mange aseme?Mbona Kama mleta mada upo upande fulani tayari I thought unatuletea habari tujudge wenyewe Ila umetulead Tuegemee wapi!!
Ray akaja kurudi CCMWarumi na Wema ni sawa na Bashite na Gwajima!
Usitegemee alete mambo Positive ya Wema.
Yote kwa yote Wema alikuwa Sahihi akiwakumbusha tusimame sote pale mwenzetu anapopatwa na janga! Ila Wameamua kuonesha Unafki wao.
Uzuri Wakati wa Kampeni Ray na Wolpa walikuwa Chadema na Wema alikuwa CCM lakini now Wema yupo Chadema Wao CCM hivyo hawawezi wakawa kitu kimoja.
BASHITE NA BABU TALE WANAJUA ROMA ALIKO.
Bashite anawazungusha tu ilaMke wa roma anashirikiana na makonda,wema atoe povu jingine
Bashite anawazungusha tu ila
Anajua,mahali roma alipo
Ha haa haa sawa ila ile sku itatokaNtakua wa mwisho kuamini hivyo. Namwamini makonda hawezi fanya hivyo
Tatizo wema anataka kuabudiwa na kila mtu,alidhani atawapelekesha bongo movie kama anavyoipelekesha team yake wasiojielewa waleView attachment 492653View attachment 492655
Kwa huu uandishi wa Wolper,ndio maana Bongo movie wana dharaulika.
Ha haa haa sawa ila ile sku itatoka
Story official mahali roma alikua
Na nan alitumia hzo nguvu
Ndo utaamin
Ngoja tusubrie tu