Ray, Wolper Wamvaa wema, kisa Roma

Ray, Wolper Wamvaa wema, kisa Roma

Warumi na Wema ni sawa na Bashite na Gwajima!

Usitegemee alete mambo Positive ya Wema.

Yote kwa yote Wema alikuwa Sahihi akiwakumbusha tusimame sote pale mwenzetu anapopatwa na janga! Ila Wameamua kuonesha Unafki wao.

Uzuri Wakati wa Kampeni Ray na Wolpa walikuwa Chadema na Wema alikuwa CCM lakini now Wema yupo Chadema Wao CCM hivyo hawawezi wakawa kitu kimoja.

BASHITE NA BABU TALE WANAJUA ROMA ALIKO.
Ray akaja kurudi CCM
 
Huyu nae skuhiz cjui anakula
Cha arusha maana kwa kugongwa ban hajambo
 
Wema hana mamlaka yeyote yakukufanya uwaze na kutenda anayotaka yeye...hayo ni maon yake na wewe toa yako..
 
Back
Top Bottom