brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Msanii chipukizi wa diamond kutoka wcb mwenye nyimbo mbili tu kwenye mbongo flava ameanza kuonja mafanikio ya kazi yake baada ya kuanza kuishi kwake
Raymond mwenye hits mbili za kwetu na natafuta kiki hakuacha kumshukuru mungu kwa mafanikio hayo hasa ukizingatia alikotoka kwenye maisha magumu
Raymond mwenye hits mbili za kwetu na natafuta kiki hakuacha kumshukuru mungu kwa mafanikio hayo hasa ukizingatia alikotoka kwenye maisha magumu