Juzi si rais wao kamtembelea rafiki yake kipenzi na mstaafu!Kwa show zipi labda....
Wcb wanashirikiana na riz one kupoteza mchele nchiniKwa show zipi labda....
Tatizo sio show tatizo ni pesa anazolipwa za show haha hata free mason hawako hivyoAmepiga show nyingi tu kuliko hata wasanii wakubwa unaowafahamu
Wasanii walikutana.Juzi si rais wao kamtembelea rafiki yake kipenzi na mstaafu!
Ila kwake kuna maana nyingi hata ukipanga ni kwako BTW siku hizi kuna nyumba zinauzwa kwa mkopodiamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..
ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
Utofauti ni kwamba hawa wakina raymond wamekuta kila kitu kipo wanarecord bure, video bure na promotion wanafanya lebaldiamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..
ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
Real ur brave oneUtofauti ni kwamba hawa wakina raymond wamekuta kila kitu kipo wanarecord bure, video bure na promotion wanafanya lebal
Tofauti na daimond kila kitu alikuwa anafanya mwenyewe kwa pesa zake hata savings lazima itakuwa ndogo