Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi Google hawalipi kutokana na views as views bali views for ads/matangazo! The problem, thamani ya haya matangazo yanatofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine for a very known reason! Kwa mfano, views za US na Europe zina thamani kubwa kuliko za Afrika! Za South Africa zina thamani kubwa kuliko za Tanzania! Hata hivyo, inategemea na target audience. Kama kinachotangazwa ni iPhone 7 na target audience ni Europe & Africa; single click from Europe viewer itakuwa na thamani maradufu compared na single click ya viewer from Africa.
Sio nimetoa wapi bali ndivyo ilivyo! Mapato yanatokana na matangazo na lazima uwe ume-enable monetization kwenye Youtube channel yako na ndio maana, ukifungua video, kabla ya content itakuja kwanza ads ambayo baada ya kuwa displayed kwa muda fulani, unapewa option ya ku-skip. Sasa zile ads zinazotokea ndizo zinazo-generate income! Advertizers wanawalipa Google na ku-Google wanalipa content owners % fulani. The idea behind ya Youtube income ni ile ile ya Google Adsense. Sasa kibongobongo kama kuna local advertizers wengi zaidi basi ndipo unakuwa kwenye nafasi kubwa zaidi ya kupata mapato ya kutosha kv local advertisers obvious target audience itakuwa TZ.Sijui wewe umetoa wapi hiyo
mimi ninachojua ukiwa na views nyingi unalipwa zaidi
hata bila matangazo....
Sio nimetoa wapi bali ndivyo ilivyo! Mapato yanatokana na matangazo na lazima uwe ume-enable monetization kwenye Youtube channel yako na ndio maana, ukifungua video, kabla ya content itakuja kwanza ads ambayo baada ya kuwa displayed kwa muda fulani, unapewa option ya ku-skip. Sasa zile ads zinazotokea ndizo zinazo-generate income! Advertizers wanawalipa Google na ku-Google wanalipa content owners % fulani. The idea behind ya Youtube income ni ile ile ya Google Adsense. Sasa kibongobongo kama kuna local advertizers wengi zaidi basi ndipo unakuwa kwenye nafasi kubwa zaidi ya kupata mapato ya kutosha kv local advertisers obvious target audience itakuwa TZ.
Usikute Diamond anachukua Cheque halafu ndo anawanunulia magari
Yote yanawezekana. Kuna jamaa mmoja aliniambia kuwa kila ukipata viewers 100,000 unatakiwa ulipwe dola 100 kwa siku. Sasa hao wanapata kiasi gani?. Ukweli anajua Dimondi
Do it! Na kama una uwezo wa kutengeneza contents za maana, hizi pesa unapata bila jasho... jasho ni kutengeneza content tu, that's it!Ngoja ni dig more....
Do it! Na kama una uwezo wa kutengeneza contents za maana, hizi pesa unapata bila jasho... jasho ni kutengeneza content tu, that's it!
Kwanza chukua muda ku-study what Google Adsense is... kuna lots of tutorials online about Google Adsense. Zipo video tutorials na text tutorials... wewe tu! Unatakiwa kui-study Google Adsense kv utatakiwa kuwa na Google Adsense Account and it's 100% FREE!ninazo contents nyingi sana
bado sijakuwa motivated tu but ngoja niamke
Yes,chige umeelezea vizuri sana,pongezi kwako.Kwanza chukua muda ku-study what Google Adsense is... kuna lots of tutorials online about Google Adsense. Zipo video tutorials na text tutorials... wewe tu! Unatakiwa kui-study Google Adsense kv utatakiwa kuwa na Google Adsense Account and it's 100% FREE!
Pamoja sana...Yes,chige umeelezea vizuri sana,pongezi kwako.
Braza,mbona nakuamini kwa uwezo wako wa kufikiri...........unashindwaje kujua hili.........Wanachopewa ni jasho lao,tofauti ni kwamba yeye/wao (DIAMOND-WCB) wanawawahishia kwa maana kuwa TUTAENDELEA KUKATANA KIDOGO KIDOGO kadri ya muda unavyokwenda. Lakini wengine huwa wana subiri hadi wawatumie sana ndio wawawezeshe.Usikute Diamond anachukua Cheque halafu ndo anawanunulia magari
Braza,mbona nakuamini kwa uwezo wako wa kufikiri...........unashindwaje kujua hili.........Wanachopewa ni jasho lao,tofauti ni kwamba yeye/wao (DIAMOND-WCB) wanawawahishia kwa maana kuwa TUTAENDELEA KUKATANA KIDOGO KIDOGO kadri ya muda unavyokwenda. Lakini wengine huwa wana subiri hadi wawatumie sana ndio wawawezeshe.
Sio msemaji wao, lakini kwani wewe unadhani anajitolea ??Wewe ni msemaji wa WCB?
exactly kinachotokea wao ndo wanajua
mimi sijaongea chochote kuhusu WCB kama mtu mwenye fact
nimeongea hisia zangu tu
Sio msemaji wao, lakini kwani wewe unadhani anajitolea ??
Mimi sikuwa na kesi na wewe,nilikuwa naonyesha mantiki ya kujiunga JF ambayo ni kueleweshana.Sasa kama ume maindi basi potezea, fanya kama hakuna kilichotokea.Wewe na mimi wote hatujui
so case closed
Mimi sikuwa na kesi na wewe,nilikuwa naonyesha mantiki ya kujiunga JF ambayo ni kueleweshana.Sasa kama ume maindi basi potezea, fanya kama hakuna kilichotokea.
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.Sija mind ila wewe ni mgumu wa kuelewa
Wewe unachoongea sio fact
mimi nimeuliza na nime speculate tu
je hao wasanii wanapata pesa zao direct from you tube?
au labda mtu mwingine anapokea na wao kupewa kidogo?
sikuandika kama nina uhakika
it was just a question....
Wewe umeibuka kunishangaa mimi na ku doubt uwezo wangu
halafu kumbe unachoongea wewe ni hisia zako tu
kwa jinsi ulivyo sikia....sio fact
wala hata mikataba yao WCB huijui...
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.