Raymond: Nilikata tamaa ya maisha

Sijui wewe umetoa wapi hiyo
mimi ninachojua ukiwa na views nyingi unalipwa zaidi
hata bila matangazo....
 
Sijui wewe umetoa wapi hiyo
mimi ninachojua ukiwa na views nyingi unalipwa zaidi
hata bila matangazo....
Sio nimetoa wapi bali ndivyo ilivyo! Mapato yanatokana na matangazo na lazima uwe ume-enable monetization kwenye Youtube channel yako na ndio maana, ukifungua video, kabla ya content itakuja kwanza ads ambayo baada ya kuwa displayed kwa muda fulani, unapewa option ya ku-skip. Sasa zile ads zinazotokea ndizo zinazo-generate income! Advertizers wanawalipa Google na ku-Google wanalipa content owners % fulani. The idea behind ya Youtube income ni ile ile ya Google Adsense. Sasa kibongobongo kama kuna local advertizers wengi zaidi basi ndipo unakuwa kwenye nafasi kubwa zaidi ya kupata mapato ya kutosha kv local advertisers obvious target audience itakuwa TZ.
 
Ngoja ni dig more....
 
Usikute Diamond anachukua Cheque halafu ndo anawanunulia magari

Yote yanawezekana. Kuna jamaa mmoja aliniambia kuwa kila ukipata viewers 100,000 unatakiwa ulipwe dola 100 kwa siku. Sasa hao wanapata kiasi gani?. Ukweli anajua Dimondi
 
Yote yanawezekana. Kuna jamaa mmoja aliniambia kuwa kila ukipata viewers 100,000 unatakiwa ulipwe dola 100 kwa siku. Sasa hao wanapata kiasi gani?. Ukweli anajua Dimondi

Duh Shaa ana wimbo una views millioni 21....
 
Do it! Na kama una uwezo wa kutengeneza contents za maana, hizi pesa unapata bila jasho... jasho ni kutengeneza content tu, that's it!

ninazo contents nyingi sana
bado sijakuwa motivated tu but ngoja niamke
 
ninazo contents nyingi sana
bado sijakuwa motivated tu but ngoja niamke
Kwanza chukua muda ku-study what Google Adsense is... kuna lots of tutorials online about Google Adsense. Zipo video tutorials na text tutorials... wewe tu! Unatakiwa kui-study Google Adsense kv utatakiwa kuwa na Google Adsense Account and it's 100% FREE!
 
Yes,chige umeelezea vizuri sana,pongezi kwako.
 
yaani yote kwa yote six paki sijui nini hazina maana kitu six cars! wacha tu tupende hela mwanaume kapewa gari kaongea kama anaota tangu aanze kusaidiwa ndo ameona leo
 
Usikute Diamond anachukua Cheque halafu ndo anawanunulia magari
Braza,mbona nakuamini kwa uwezo wako wa kufikiri...........unashindwaje kujua hili.........Wanachopewa ni jasho lao,tofauti ni kwamba yeye/wao (DIAMOND-WCB) wanawawahishia kwa maana kuwa TUTAENDELEA KUKATANA KIDOGO KIDOGO kadri ya muda unavyokwenda. Lakini wengine huwa wana subiri hadi wawatumie sana ndio wawawezeshe.
 
Wewe ni msemaji wa WCB?
exactly kinachotokea wao ndo wanajua
mimi sijaongea chochote kuhusu WCB kama mtu mwenye fact
nimeongea hisia zangu tu
 
Wewe ni msemaji wa WCB?
exactly kinachotokea wao ndo wanajua
mimi sijaongea chochote kuhusu WCB kama mtu mwenye fact
nimeongea hisia zangu tu
Sio msemaji wao, lakini kwani wewe unadhani anajitolea ??
 
Wewe na mimi wote hatujui
so case closed
Mimi sikuwa na kesi na wewe,nilikuwa naonyesha mantiki ya kujiunga JF ambayo ni kueleweshana.Sasa kama ume maindi basi potezea, fanya kama hakuna kilichotokea.
 
Mimi sikuwa na kesi na wewe,nilikuwa naonyesha mantiki ya kujiunga JF ambayo ni kueleweshana.Sasa kama ume maindi basi potezea, fanya kama hakuna kilichotokea.

Sija mind ila wewe ni mgumu wa kuelewa

Wewe unachoongea sio fact
mimi nimeuliza na nime speculate tu
je hao wasanii wanapata pesa zao direct from you tube?
au labda mtu mwingine anapokea na wao kupewa kidogo?
sikuandika kama nina uhakika
it was just a question....

Wewe umeibuka kunishangaa mimi na ku doubt uwezo wangu
halafu kumbe unachoongea wewe ni hisia zako tu
kwa jinsi ulivyo sikia....sio fact
wala hata mikataba yao WCB huijui...
 
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.
 
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.

Okay tuseme wewe ni mtu karibu wa WCB
je kina Raymond na Harmonize wamewahi wao wenyewe kupokea cheque za Google?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…