Raymond special thread

lala mbere

Senior Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
128
Reaction score
113
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto asinifanye nikaacha shughuli za maana na kukesha kuingia youtube,hongera sana simba kwa kutuletea salome hii ni zaidi ya nyimbo aisee,wimbo mzuri mpaka kidume chozi la furaha linachomoza,monds tuache tupumue baba,huu uzi ni mahsusi kwa wapenzi wa ray anafanya vitu hatari sana,hata kwa update zake pia.

karibuni.
 
Kwa hyo kidume ulitoa machozi kisa huo wimbo

AISEE ACHA KUTUAIBISHA WANAUME
nikikutajia wanaume wenzangu wanaofeel happy mpaka chozi linachomoka hutaamini hebu google uone,mfano mdogo ni tundu lisuu hapa sijawataja ronaldo,messi na wengine lukuki.
 
Muwage mnawaacha basi mpaka huku mitaani waeleweke ndo muanze kuwavimbisha vichwa... Ana nyimbo au albam ngapi huyo....nyie ndo mnawapoteza hawa kwa sifa
 
which is which raymond huku mbele unamsifia simba, angalia usije ukamsifia kila mtu. Mi wote hao nawakubali sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa darisalama katika ubora wao aisee
 
Nyie ndio mnaotafutwa na Paul Makonda.
Mwanaume unaanzaje kumlilia mwanaume mwenzio ebooo
 
aiseeee ..... eti chozi kweli mwanaume umekosa cha kufanya unakuja kusifia mwanaume...
hii nayo mpya, una matatizo sio bure, kwana umetuaibisha ..

tafadhali mods mtulindie heshima hii sasa too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…