lala mbere
Senior Member
- Aug 25, 2016
- 128
- 113
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto asinifanye nikaacha shughuli za maana na kukesha kuingia youtube,hongera sana simba kwa kutuletea salome hii ni zaidi ya nyimbo aisee,wimbo mzuri mpaka kidume chozi la furaha linachomoza,monds tuache tupumue baba,huu uzi ni mahsusi kwa wapenzi wa ray anafanya vitu hatari sana,hata kwa update zake pia.
karibuni.
karibuni.