Mwanaume wa DarKwa hyo kidume ulitoa machozi kisa huo wimbo
AISEE ACHA KUTUAIBISHA WANAUME
Hata mimi nna mashaka na wewe. Rijali wa kweli hawezi kusema "buana"imekaa kikike zaidi,jaribu kukaza ulimi kidogo.Wanaume wa dar buana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie ndio mnaotafutwa na Paul Makonda.
Mwanaume unaanzaje kumlilia mwanaume mwenzio ebooo
Asee japo natoka nje ya madaAlafu nimpenda yule mdada couple yake kazuriiii
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto asinifanye nikaacha shughuli za maana na kukesha kuingia youtube,hongera sana simba kwa kutuletea salome hii ni zaidi ya nyimbo aisee,wimbo mzuri mpaka kidume chozi la furaha linachomoza,monds tuache tupumue baba,huu uzi ni mahsusi kwa wapenzi wa ray anafanya vitu hatari sana,hata kwa update zake pia.
karibuni.
Aisee ni kweli Mkuu uandishi huo naonaga kwa wanawake tuHata mimi nna mashaka na wewe. Rijali wa kweli hawezi kusema "buana"imekaa kikike zaidi,jaribu kukaza ulimi kidogo.
Unawasema wanaume wa dar wakati we ndo una uandishi wa kikike