Raymond special thread

Raymond special thread

Tatzo Watu wa Bush wanajikuta wajuzi sana
Kila kitu wanaume wa Dar
Badilikeni bhana
 
Nami siku hizi nimezidi kupenda nyimbo za kwetu tz nimeiona hii video Leo kwa kweli kamfunika diamond sanaaaaaa inapokua nae diamond msanii hodari
 
WAACHE KU COPY MIZIKI YA WENGINE WATUNGE YAO.....

OVA
 
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto asinifanye nikaacha shughuli za maana na kukesha kuingia youtube,hongera sana simba kwa kutuletea salome hii ni zaidi ya nyimbo aisee,wimbo mzuri mpaka kidume chozi la furaha linachomoza,monds tuache tupumue baba,huu uzi ni mahsusi kwa wapenzi wa ray anafanya vitu hatari sana,hata kwa update zake pia.

karibuni.

Hakuna mwanaume anayeweza kumwaga michozi kwa sababu za ki ndezi kama hizo, we wa wapi bana? Nyie ndio mnasababisha tunatukanwa kila leo hapa mjini😵!
 
Uko sahihi... You expressed ur feelings.. Achana na hao vibakuli wanaokukejeli. Kwenye harusi wanakata viuno na WCB mpaka nyonga zinageuka.... Tehheeheee

Raymond ni Fireeeee.
 
Upo mkoa gani kwanza? Me najua wanawake ndo wanatoaga machozi kwa fantasy Fulani hiv mana ukiangalia Live show za kina WCB wanawake ndo hujaza ukumbi ma kutoa machozi ya Furaha
 
Hata mimi nna mashaka na wewe. Rijali wa kweli hawezi kusema "buana"imekaa kikike zaidi,jaribu kukaza ulimi kidogo.
Unawasema wanaume wa dar wakati we ndo una uandishi wa kikike
Aisee ni kweli Mkuu uandishi huo naonaga kwa wanawake tu
 
Back
Top Bottom