ZanzibarBila shaka ni Dar es Salaam🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZanzibarBila shaka ni Dar es Salaam🙂🙂
Huyo mtoto washamuharibu sana..kibaya zaidi anauzwa na wadada watu wazimaUkimtazama huyo kijana ni dhahiri ndani ya ubongo wake anajiona msichana
wataalam wanaita 'gender disorder'
hutokea kwa baadhi ya watoto ubongo ukatambua jinsia ingine
wakati watoto wana mizei mitatu
wengine hurudi kuwa norma wengine hairudi....
ndo hawa.....
ni ugonjwa tu wa ubongo....kumtukana sana wala sio dawa