BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Toa ujinga hapaWewe na nani?Usipende kuzungumzia nafsi za watu wengine!
Halafu ndio ushamjua tayari
Hujaona sababu we kipofu!mkuu vip tena komoni hz mnazokunywa asubuh asubuhi sijaona unachokizungumza jipange
Duuh ndio hivyo ushaelewa!Toa ujinga hapa
Mbona unatoka povu kiasi hicho?Huu mchezo hauhitaji hasira,ila uzuri ushaelewa!Kila ukiiona hiyo video utakuwa unakumbuka kale kakipande wamepaste sehemu!Mpuuzi nq mmbeya ndonyie unafanya Tanzania iwe na sifa yamajungu naumbea,,,,, mpuuzi namwenye tabia zakike wewe Fanya maisha yako
Kwaninnonsense!
Dozi imekuingia sasa naamini utacha tabia zakikeMbona unatoka povu kiasi hicho?Huu mchezo hauhitaji hasira,ila uzuri ushaelewa!Kila ukiiona hiyo video utakuwa unakumbuka kale kakipande wamepaste sehemu!
Unaonekana bado unanyonya so ngoja nikupuuze kwa matusi yako
Uandishi wako wa kimwendokasi mkuucndo anatafta kiki xx
Kwani umeambiwa mi mwanaumeDozi imekuingia sasa naamini utacha tabia zakike
Kama umeona video ya natafuta Kiki basi kuna kipande kinaonesha Raymond na Harmonize wakicheza kwa style flani ya kutikisa bega moja!Hiyo style wameichukua kutoka kwa dogo mmoja maarufu marekani anayejiita kida the great!Hebu cheki hii clip fupi kisha kaangalia video ya natafuta Kiki kipande kile cha Ray na Harmonize!
Kida The Great Presents @NewGeneration916 "Cut It…:
Video
Rayvanny - Natafuta kiki (Official Video Music):
Hapana,dogo hiyo style kafanya kitambo sana!kwani huyo dog hawezi chukua kwa kina ray
Hapana,dogo hiyo style kafanya kitambo sana!
Hilo sijapinga!ok sawaa naamini katafuta tu flavour video iwe bora zaidi
Watu tuna interest tofauti,mimi ni mpnz wa dance na huyo dogo nalisubscribe youtube ili kila akiweka dance zake basi mi napata notification!Na kweli kila nikipata lazima niweke bundle!Nilipoona video ya Ray na nikaona ile dance nikakumbuka nilishaiona mahali ndio nikaiweka!Sio vibaya kuiga ila ni vema kuwajua waasisi coz wanatumia muda kubuni na hiki ni kipaji!Katika vitu ambayo nimepiga marufuku moyo wangu, ni kutoa pesa yangu na kuangalia vitu vya hovyo hovyo. Kama kuangalia istragram sijui eti nani kacopy kapeste!! Bora hata nitumie bandle langu nimwangalie champlin
Mbona mmemind sana?cheza yako wakuige kama unajua
KabisaKatika vitu ambayo nimepiga marufuku moyo wangu, ni kutoa pesa yangu na kuangalia vitu vya hovyo hovyo. Kama kuangalia istragram sijui eti nani kacopy kapeste!! Bora hata nitumie bandle langu nimwangalie champlin
Nani kasema kuna shida?Najaribu kumuweka muasisi kuweka tu kumbukumbu sawaShida ipowapi
Rayvanny - Natafuta kiki (Official Video Music):kichupa kimetoka sema sina utaalamu wa kukifunga humu...mwenye huo utaalamu awafungie wadau wakionee