Raymond WCB: 'Natafuta Kiki' - (Video)

Raymond WCB: 'Natafuta Kiki' - (Video)

Mpuuzi nq mmbeya ndonyie unafanya Tanzania iwe na sifa yamajungu naumbea,,,,, mpuuzi namwenye tabia zakike wewe Fanya maisha yako
Mbona unatoka povu kiasi hicho?Huu mchezo hauhitaji hasira,ila uzuri ushaelewa!Kila ukiiona hiyo video utakuwa unakumbuka kale kakipande wamepaste sehemu!
Unaonekana bado unanyonya so ngoja nikupuuze kwa matusi yako
 
Dozi imekuingia sasa naamini utacha tabia zakike
 
kwani huyo dog hawezi chukua kwa kina ray
Kama umeona video ya natafuta Kiki basi kuna kipande kinaonesha Raymond na Harmonize wakicheza kwa style flani ya kutikisa bega moja!Hiyo style wameichukua kutoka kwa dogo mmoja maarufu marekani anayejiita kida the great!Hebu cheki hii clip fupi kisha kaangalia video ya natafuta Kiki kipande kile cha Ray na Harmonize!
Kida The Great Presents @NewGeneration916 "Cut It…:

Video
Rayvanny - Natafuta kiki (Official Video Music):
 
Katika vitu ambayo nimepiga marufuku moyo wangu, ni kutoa pesa yangu na kuangalia vitu vya hovyo hovyo. Kama kuangalia istragram sijui eti nani kacopy kapeste!! Bora hata nitumie bandle langu nimwangalie champlin
 
Watu tuna interest tofauti,mimi ni mpnz wa dance na huyo dogo nalisubscribe youtube ili kila akiweka dance zake basi mi napata notification!Na kweli kila nikipata lazima niweke bundle!Nilipoona video ya Ray na nikaona ile dance nikakumbuka nilishaiona mahali ndio nikaiweka!Sio vibaya kuiga ila ni vema kuwajua waasisi coz wanatumia muda kubuni na hiki ni kipaji!
 
Katika vitu ambayo nimepiga marufuku moyo wangu, ni kutoa pesa yangu na kuangalia vitu vya hovyo hovyo. Kama kuangalia istragram sijui eti nani kacopy kapeste!! Bora hata nitumie bandle langu nimwangalie champlin
Kabisa
 
Back
Top Bottom