Raymond: Wimbo wa 'Salome' umenipa kiki kubwa sana, natafutwa dunia nzima nikafanye kolabo

Ndo kasema ivo kwenye hiyo clip au, (sijaisikiliza) nimecheka dunia nzima. [emoji23] [emoji23] .
 
Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
hivi visaniiii sijui nani huwa anavituma vikaongee ujinga ujinga huu

ndio maana sipendi kuwajua hawa wasaniii chupikizi maana wanatia kichefuchefu kuwasikiliza
 
Wabongo kawaida yao hakuna cha kwao wanachokipenda, uswahili nao ni kipaji
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndo kasema ivo kwenye hiyo clip au, (sijaisikiliza) nimecheka dunia nzima. [emoji23] [emoji23] .
Amepigiwa simu za show huko india, itali na marekani sio collabo amesema hivyo kwenye hiyo clip.

Kuombwa Collabo ni kawaida kwa msanii hasa sasa hivi kujulikana kupitia mgongo wa diamond kwenye nyimbo hii ya salome.

Muda si mrefu atafanya collabo na wasanii wa kimataifa wa Afrika
 
  • Thanks
Reactions: irk

Sawa kaka, but italy, india mhh mhh. Anyway kijana yuko vizuri sana. Am his fan.
 
Kwani unafikiri India na Italy ni kwenye kumbi za kimataifa..kina omydimpoz, TID nk wote wameshakwenda ni kama kwenye clubz/disco tu.

Usivute hisia kujaza watu kama kina NICKI MINAJ na CHRISS BROWN kwenye majukwaa makubwa.

Wahudhuriaji wakubwa ni wabongo wanaishi huko hasa kutoka Afrika mashariki na baadhi kutoka west na south.
 
dunia nzima???kapigiwa simu hadi na Trump😡😡
  • 😡
 
Kwani unafikiri India na Italy ni kwenye kumbi za kimataifa..kina omydimpoz, TID nk wote wameshakwenda ni kama kwenye clubz/disco tu.

Usivute hisia kujaza watu kama kina NICKI MINAJ na CHRISS BROWN kwenye majukwaa makubwa.

Wahudhuriaji wakubwa ni wabongo wanaishi huko hasa kutoka Afrika mashariki na baadhi kutoka west na south.
Ahhhhh kumbe show, post niliisoma kimawenge mkuu. Nimeelewa sasa.
 
Back
Top Bottom