pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Mawazo yako ndo yameishia apoHahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
hivi visaniiii sijui nani huwa anavituma vikaongee ujinga ujinga huuHahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahhaahHahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
Uganga bado hujaacha?huu uzi umejaa comments za kishirikina.
Amepigiwa simu za show huko india, itali na marekani sio collabo amesema hivyo kwenye hiyo clip.Ndo kasema ivo kwenye hiyo clip au, (sijaisikiliza) nimecheka dunia nzima. [emoji23] [emoji23] .
Sawa kaka, but italy, india mhh mhh. Anyway kijana yuko vizuri sana. Am his fan.Amepigiwa simu za show huko india, itali na marekani sio collabo amesema hivyo kwenye hiyo clip.
Kuombwa Collabo ni kawaida kwa msanii hasa sasa hivi kujulikana kupitia mgongo wa diamond kwenye nyimbo hii ya salome.
Muda si mrefu atafanya collabo na wasanii wa kimataifa wa Afrika
RIP Amita Bachan..Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
Bado kaka...kila nikipiga ramli zinaonesha kabisa...Uganga bado hujaacha?
Kwani unafikiri India na Italy ni kwenye kumbi za kimataifa..kina omydimpoz, TID nk wote wameshakwenda ni kama kwenye clubz/disco tu.Sawa kaka, but italy, india mhh mhh. Anyway kijana yuko vizuri sana. Am his fan.
Ahhhhh kumbe show, post niliisoma kimawenge mkuu. Nimeelewa sasa.Kwani unafikiri India na Italy ni kwenye kumbi za kimataifa..kina omydimpoz, TID nk wote wameshakwenda ni kama kwenye clubz/disco tu.
Usivute hisia kujaza watu kama kina NICKI MINAJ na CHRISS BROWN kwenye majukwaa makubwa.
Wahudhuriaji wakubwa ni wabongo wanaishi huko hasa kutoka Afrika mashariki na baadhi kutoka west na south.
Nakukubali upo vizuri tokea ulivyo rithishwa hujawai kuwaangusha wazeeBado kaka...kila nikipiga ramli zinaonesha kabisa...