Rayuu: Natafuta mwanaume wa kunioa na kuniweka ndani

Ni hivi kama anaweza kinywa litaghata na maboga aje tu Kama atakubali kunyoa au kuacha kuset nywele za 5000 aje tu.. Kama badala ya kwenda club na baa usiku aje twende mkesha poa tu... Na kama atakubali kudandia daladala na kushika bomba badala ya kukunja nne au kutembelea Mak..lio fresh sana.

Kama ana hivo vigezo havina shida
Hint kipaumbele atapewa iwapo hayo matatoo atayafuta maana ukweni hawatamkubali
 

Yeye anahitaji kuolewa, hajasema anataka hayo masharti yako
 
Huyu mtoto mzuri jaman hata mimi nampenda kweli ila tatizo lake ni MSAMBINUGWA!!
 
huyu binti ana umri gani? nataka nimfanyie iq test online.
 
Wanaume wapo wengi tu wa kumuoa tatizo too much selection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…