maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
mo racka unawajua wazazi wake?mi nilidhani ungesema anabustiwa na kile kibabu cha kizungu toka south au yule wa hong kong.Kina Jux/Mo racka wana-boostiwa na hela za wazazi,hata PNC/Best Naso wakiwa nazo wata-shine tu,mbona Domo sura imechacha lakini anaonekana hendisamu?