brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Muhimu dogo kupata uzoefu hata diamond ilimchukua miaka 2 kushinda mtv mamaKipengele kipo tight sana kuna Falz, simi,tekno,ycee, babes, nasty c, Emtee, Franko, nathi ila faida iliopo n kuwa pekee yke ndo anatoka ukanda wa East africa uku nchi zingine zinawashiriki watatu hadi 4 nigeria n south africa. N cameroon mmoja
Kipengele kipo tight sana kuna Falz, simi,tekno,ycee, babes, nasty c, Emtee, Franko, nathi ila faida iliopo n kuwa pekee yke ndo anatoka ukanda wa East africa uku nchi zingine zinawashiriki watatu hadi 4 nigeria n south africa. N cameroon mmoja
Yupo song of the yearAfande Sele hayumo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Afande Sele hayumo?
Abdu kiba vipi? Au anasubir tunzo za KilimanjaroHarmonize naye vip au karidhika na shuga mommy wake
[emoji13] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Harmonize naye vip au karidhika na shuga mommy wake
Nani huyo mkuu????Kuna watu wanasemaga wao wametoboa kimataifa bila collabo lakini kwenye mtv mama bila collabo tusingesikia jina lake kwenye tuzo za mtv mama
Anajijua bila sauti sol , mtv wangeisikia kwenye bombaNani huyo mkuu????
peterchoka unamskia huyu?Anajijua bila sauti sol , mtv wangeisikia kwenye bomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Abdu kiba vipi? Au anasubir tunzo za Kilimanjaro