Rayvan ndani ya Tuzo za MTV MAMA 2016

Rayvan ndani ya Tuzo za MTV MAMA 2016

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
WCB wanazidi kung'ara kila kukicha , hatimaye Rayvan naye atajwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 kwenye kipengele cha best breakthrough act

1475444001327.jpg
 
Kipengele kipo tight sana kuna Falz, simi,tekno,ycee, babes, nasty c, Emtee, Franko, nathi ila faida iliopo n kuwa pekee yke ndo anatoka ukanda wa East africa uku nchi zingine zinawashiriki watatu hadi 4 nigeria n south africa. N cameroon mmoja
 
Muhimu dogo kupata uzoefu hata diamond ilimchukua miaka 2 kushinda mtv mama
Hata category alizopo diamond sio za mchezo mchezo
 
Kipengele kipo tight sana kuna Falz, simi,tekno,ycee, babes, nasty c, Emtee, Franko, nathi ila faida iliopo n kuwa pekee yke ndo anatoka ukanda wa East africa uku nchi zingine zinawashiriki watatu hadi 4 nigeria n south africa. N cameroon mmoja

Afande Sele hayumo?
 
Hongera zake kijana nyimbo mbili kashaanza kuwakilisha kimataifa, kuna wasanii hapa bongo wakali lakini hawana nyota wameanza mziki kitambo lakini hata kunusa hizo tuzo kwao imekuwa mbinde wapo tu wanazungushwa kwenye Costa na ruge kweli Mungu akitaka kukupa hakuletei barua!
 
Back
Top Bottom