Rayvann akatazwa kujenga kanisa Mbeya na WCB

Alafu hii habari za kuhusianisha mziki wao na masuala ya dini inaweza kuanza kuwacost muda si mrefu maana nawaona sasa wameshashika hatamu katika idara hiyo nyeti. Watatolewa matamko soon
Wanahusisha na dini kivipi?!
 
Waislamu nyie ni watu wa ajabu sana.
Mnapenda sana kuwaita Wakristo kuwa kwa majina ya ajabu ajabu mara makafiri.
Lakini wao wakiwasema kidogo tu mnaanza kuwaambia kuwa wana udini
Yaani nyie mnajihakikishia kuwa dini yenu ndio halali tu. Lakini dini za wenzenu Wakristo si lolote wala chochote.
 
Kanisa ni biashara nzuri sana kuliko msikiti.
Msikiti haulipi.
 
Habari bila videoclip/audiovisual ni takataka tu
 
Ngoja niongee na amorapa akatujengee jumba la unyago huko kwetu nchinga kwa ajili ya sisi wapagani.
 
Babu Tale,Salam na Fella wanavyopenda kufuga majini lazima wamkataze
 
uchafu kama huu usiwe unaruka hewani kabisa, yaani unawatuhumu watu bila kuweka ushahidi , huu ni ujinga mkubwa kabisa
 
Diamond Na wasafi ni wapinga Kristo
 
Naona humu sasahivi wamejaa majuha yaani machizi,hivi mtu mwenye akili unakaa kabisa nakuishutumu wcb kuwa wadini? Wakati hiyo kazi yao uislamu inaipinga vikali! Inaonekana munauchukulia poa sana uislam eeh?
 
WCB Ina udini Sana, udini wa kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…