Wanahusisha na dini kivipi?!Alafu hii habari za kuhusianisha mziki wao na masuala ya dini inaweza kuanza kuwacost muda si mrefu maana nawaona sasa wameshashika hatamu katika idara hiyo nyeti. Watatolewa matamko soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahusisha na dini kivipi?!Alafu hii habari za kuhusianisha mziki wao na masuala ya dini inaweza kuanza kuwacost muda si mrefu maana nawaona sasa wameshashika hatamu katika idara hiyo nyeti. Watatolewa matamko soon
uchafu kama huu usiwe unaruka hewani kabisa, yaani unawatuhumu watu bila kuweka ushahidi , huu ni ujinga mkubwa kabisaUongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
+255 718515171 WhatsApp nitumie fasta na mim nitaziweka hapa.
Na wasafi ni wapinga KristoUongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya