Rayvanny aanika hadharani anavyosumbuliwa na lishugamamy mheshimiwa mmoja wa huko Kenya

Dogo huna akili kabisa,
Shule zikifunguliwa ,Rudi darasan
 
Mwe nilichogundua kwenye comments kumbe Jf malio wako wengi yale maisha wanayotuigizia wanazo kumbe si kweli 😁😁😁
Hakuna kitu kinakera kama kuona kuna mtu anakataa offer ya mbunye 😂😂😂!!! Yani sio hata umarioo ila kitendo cha kukataa offer ya Mbunye mujarab kama ya huyo msomali ni kitendo cha kishoga.
 
Msomali mwanamke hajawahi kuwa na maximum freedom ya dating na bantuz, I partly lived with them some decades back still linked up to date ubaguzi na ukatili wa msomali ni hatari. Kwanza mwanamke wa kisomali anamtawala mume kama hamjui akina Oyo ni Kiboko, wariya wariya.
 
Comments zinaonesha akili fupi za reasoning, maturity, emotional control wengi hamjafiki level za Rayvanny kimaisha huku mliko alishapita kitambo yeye ni next level. Alichofanya ni akili kubwa sana such a strong man bravo lukosi!!
 
Mwe nilichogundua kwenye comments kumbe Jf marioo wako wengi yale maisha wanayotuigizia wanazo kumbe si kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida kwanini kaweka adharani. .
Si angekausha tu,angepungukiwa nini?

Kila mtu ana hisia,je ni vibaya bi mkubwa kusema hisia zake?
Angemlima tofali afu maisha yangeendelea..

Jinga sana.
 
Sasa huyo mama amekosa wanaume kote huko mpaka aje kuhangaika na huyu kijana mwenye tabia za kulegeza macho?

Haya sasa aibu.
 
uyu jamaa anakatwa nini.sasa mwaume unakujae namna hii.na ukiizingatia kwa kazi yake ni jambo la kawaida kukutana na hayo mambo.sifa zingine ni za kipuuzi tu
 
habari ya kupika hii
Inaonekana kabisa,tatizo kuna wasengerema huko juu wanashabikia km vile hawajui huku inaonekana kabisa wametumwa na huyo aliyehack acc ya Rayvan.
Roho tu za kiafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…