Rayvanny aendelea kuonyesha ubabe wake Afrika

Rayvanny aendelea kuonyesha ubabe wake Afrika

Big up to him Ni hatua kubwa Sana hiyo ukifanya kazi nzuri itakulipa.
 
Amaboko ni neno la kinyarwanda kwa kiswahili likiwa na maana ya mikono.
Tukilinyambua tunapata bokoboko.. huo ni aina ya wali uliopikwa kwa kuwa na maji mengiii..😅
 
Roma anafanya vizuri you tube na afrika mashariki nzima?

Hebu usikimbie swali.Lini Ray atapata ubalozi?

Basi kama hilo ni gumu hebu hili jepesi,hivi ray ana EP ngapi au albamu kamili ngapi?
Kwani kufanya vizuri lazima uwe balozi mbona roma anafanya vizuri na maisha yanaenda bila hata kuwa na ubalozi
 
Roma anafanya vizuri you tube na afrika mashariki nzima?

Hebu usikimbie swali.Lini Ray atapata ubalozi?

Basi kama hilo ni gumu hebu hili jepesi,hivi ray ana EP ngapi au albamu kamili ngapi?
EP mbili, na album kamili moja, so soon utaomba poo[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom