Rayvanny aendelea kuonyesha ubabe wake Afrika

Amabokoo! Goma Kali sana aisee, kuna mla monde mwenzangu hapa kila siku alikuwa analikandia ili goma ila namuona hapa ako kwa dance floor makelele mengii amabokooooo,...
 
Amabokoo! Goma Kali sana aisee, kuna mla monde mwenzangu hapa kila siku alikuwa analikandia ili goma ila namuona hapa ako kwa dance floor makelele mengii amabokooooo,...
Angalia alivyoipiga leo uwanja wa Uhuru ilivyopokewa kwa shangwe na mashabiki.Wasanii hawakoseagi kutoa ngoma aisee
 
Hata me binafsi hiyo ngoma wakati inatoka sikuipenda ila Sasa hiv imeshaniingia hiyo ngoma ina vibe Sana.
Kabisa! Siku ya kwanza hii nyimbo inatoka niliichukulia poa sana, sema baada ya siku kadhaa na ilinikuta nazibua vyupa nikajikuta naruka nayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…