Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu
Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli
Nafikiri Rayvany ni kweli hana jambo jipya kabisa pia hata mvuto umekwisha kabisa pale WCB amebaki Mbosso na Diamond kwa upande wa wanaume