Atashtakiwa.Inasikitisha sana faini 850m? Namshauri Rayvanny afanye nyimbo zake zote kwa version nyingine kisha afungue accounts kwenye digital platforms zote naye aanze kuuza maana haki ya mtunzi ni yake Ray.
Kawaida saba unaambiwa show ilikua ni loss hivyo nawewe badala ya kulipwa utakatwa mapato/mshahara ujao.Kuna kitu nadhani hakiko Sawa pengine hata hiyo percent ya kwenye mkataba hawapati. Acha tunywe supu nyama tutazikuta chini
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY.Watulie tu wanyolewe si walitaka umaarufu na mipesa??/asa hayoo yooote yanatoka wapi wajameni au mie ndo sielewi?
tunawatakia hukumu njema ya haki tchao!!!Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY. Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.