Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Je hii mikataba inatumia Lugha gani?

Je wanalazimiashwa kusaini?

Je hawapewi muda wa kwenda kusoma kabla ya kuasaini?

Karatasi inaweza ikakupa mil 10 ikakunyima Bil 1
 
Kuna kitu nadhani hakiko Sawa pengine hata hiyo percent ya kwenye mkataba hawapati. Acha tunywe supu nyama tutazikuta chini
Kawaida saba unaambiwa show ilikua ni loss hivyo nawewe badala ya kulipwa utakatwa mapato/mshahara ujao.
 
Watulie tu wanyolewe si walitaka umaarufu na mipesa??/asa hayoo yooote yanatoka wapi wajameni au mie ndo sielewi?
 
Watulie tu wanyolewe si walitaka umaarufu na mipesa??/asa hayoo yooote yanatoka wapi wajameni au mie ndo sielewi?
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY.

Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.
 
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY. Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.
tunawatakia hukumu njema ya haki tchao!!!
 
Back
Top Bottom