MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Atashtakiwa.Inasikitisha sana faini 850m? Namshauri Rayvanny afanye nyimbo zake zote kwa version nyingine kisha afungue accounts kwenye digital platforms zote naye aanze kuuza maana haki ya mtunzi ni yake Ray.
Hizo nyimbo zake zina Hatimiliki ( ©WCB Wasafi ).