Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa kile kilichodaiwa kumtumia picha za utupu Paula wa kajal Kwa Nia ya kutaka kumsambazia upendo 😋 huku akitambua yupo kwenye mahusiano na mama yake mzazi .....
Ikumbukwe kuwa ni wiki chache zimepita tangu sakata zito la Rayvanny kupost video za faragha akiwa na Paula Hali iliyoibua mjadala mkali miongoni mwa wadau mbali mbali nchini na kama hyo haitoshi Jambo hlo lilifika mpak vyombo vya Sheria huku Harmonize akidaiwa kuongoza mashitaka hayo.
Sakata hili linaibuka ambapo pia Harmonize anatuhumiwa kumtishia kumuua sambamba na kumtukana matusi Mwanadada Presenter Maimartha Jesse...huku pia mwanadada huyo akitishia kumpeleka mahakamani Harmonize
Anaandika Rayvanny
" Dunia inamaajabu yake lakini sijawahi ona mtu wa ajabu kama wewe my bro @harmonize_tz Ni binadamu wa aina gani wewe ambae unataka kua na mama na mtoto pia tena kwa nguvu zote na unatuma hadi utupu wako bila hata kuogopa nafasi ulionayo kwenye jamii kujidhalilisha kua kama ulivyozaliwa na angali wewe ni kioo cha jamii.
Ni roho ya ajabu sana ulionayo yani KILA NIKIKUWAZA SIPATI JIBU NDUGU YANGU. Ulikua unawapigia simu viongozi mbalimbali juu ya swala langu mimi sasa nawaza leo hii utawaangaliaje ??
Wewe ni balozi wa kampuni na zimekupa heshima kama balozi sasa nawaza unapata wapi ujasiri wa kutuma utupu wako ni kampuni gani inakubali fedheha hii na je wanakuonaje kwa kitendo hiki ulichokifanya kinachodhalilisha wanawake hasa mama ? Hivi hukumfikiria mama ambae aliekupa heshima wewe na kukuweka karibu na kukutambulisha familia yake ?
Yani unataka ukatembee na mwanae wa damu yani mwanae wakumzaa? LEO HII MWANAO WAKIKE AKIKUA AKASIKIA UCHAFU HUU ANAKUONA NI BABA WA NAMNA GANI WEWE UNAEMTAKA MAMA NA MTOTO ?
USHAURI WANGU: OMBA RADHI KWA WAZAZI NA KINA MAMA NIKIWA NA MAANA WANAWAKE AMBAO NI MAMA ZETU WANASTAHILI HESHIMA SIO KUDHALILISHWA KAMA ULIVYO FANYA WEWE NA UNAIGIZA KAMA HAKIJATOKEA KITU.....
UKIHESHIMIWA BASI JIHESHIMU