Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Kipindi kile Vanny alivyo post clip na Paula,Harmo aliandika gazeti kubwa la kumpa lawama na akaanza statement "Nikiwa kama baba malezi wa Paula....blah blah......"

Sasa naona baba mlezi kazidiwa anataka kula kuku na mayai yake.Ila hizi tuhuma Harmo inabidi azizungumzie kwani si ndogo na kama uwongo inabidi amshtaki Vannyboy sababu ya image yake kibiashara ,ila akikaa kimya watu watapigia mstari ni kweli.
Vannyboy kaweka na Ushahidi , wataaalam wa Ku crack kode Fanyeni yenu muone tango la konde boy 😂😀😋
 
WCB Wana hasira na Konde boy na hii watakomaa nayo kumdhalilisha mpak akome
Why ??

Vannboy kuna attention alikuwa anaitafuta ya project mpya so kuna conversation Kati yake na Paula walikuwa wanafanya Kwa njia ya caption, lakini pia Ngoma mbili za WCB kuzifanya zimeintain on top YouTube ....

Konde boy kuona hvyo akapost video ya Kajala na Paula wakiimba wimbo wake hii ikafanya wave yote aliyoitengeneza vaanboy ihamie Kwa kodeboy ....

DK chache Konde boy akaachia wimbo, akijua ataenda kuwasumbua wajuba pale juu

WCB+ Vannyboy akapigilia msumari wa Moto

Ambacho hakujua Konde boy ni kuwa Paula na mama yake hawapo upande wake tena too late to resolve.....

Mchezo usiuchezee weweeee😂
 
hapa ni mchezo unachezwa
kajala amemchuna njomba nchumali sasa kakituma kitoto chake kihamie kwa mnyakyusa wa wasafi,wameona kajamaa nacho kana hela wakapige, na chenyewe kanajaa kanajua paula anakapenda, yaani ni udangaji dangaji tu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
WCB Wana hasira na Konde boy na hii watakomaa nayo kumdhalilisha mpak akome
Why ??
Vannboy kuna attention alikuwa anaitfta ya project mpya so kuna conversation Kati yake na Paula walikuwa wanafanya Kwa njia ya caption , lakn pia Ngoma mbili za WCB kuzifanya zimeintain on top YouTube ....

Konde boy kuona hvyo akapost video ya Kajala na Paula wakiimba wimbo wake hii ikafanya wave yote aliyoitengeneza vaanboy ihamie Kwa kodeboy ....
DK chache Konde boy akaachia wimbo , akijua ataenda kuwasumbua wajuba pale juu

WCB+ Vannyboy akapigilia msumari wa Moto

Ambacho hakujua Konde boy ni kuwa Paula na mama yake hawapo upande wake tena too late to resolve.....

Mchezo usiuchezee weweeee[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] harmo hajawahi kukubali kushindwa I blv atakuja na come back 1 ya hatari wamekutana hao wote wapenda masifa
 
[emoji3][emoji3][emoji3] harmo hajawahi kukubali kushindwa I blv atakuja na come back 1 ya hatari wamekutana hao wote wapenda masifa
Harmo Kashikwa kubaya kama zile picha za uchi alizo mtumia Paula zikaonyesha tatoo yake yoyote mwilini au sura yake lazima Harmo atakuwa mpole,Sababu hadhi yake itashuka hasa kibiashara,itakuwa mbaya sana.

Wangekuwa wahuni wengine wangemchomoa hela kama walivyo mchomoa hela Menina ili picha zake zisivuje mwisho wa siku mpunga ukakata wahuni wakaziachia.Hili swala Mwijaku hasi lizungumzie kwani naye ana kesi mbichi inayo fanana na hii ipo mahakamani,kiherehere chake kina weza kumpa point tatu wakili wa Menina kwenye kesi yake.
 
Wajuba wanasubiri ajibu tu alaf wabofye kitufe cha X-Video,....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]
Hawawezi sheria zinawabana [emoji3][emoji3][emoji3] siwajua Mwijaku mpaka leo hii ana kesi ipo mahakamani,

Kwani kamtumia picha ya utupu !? Au kamtafuna kabisa ,.!?[emoji3]

Kuwajibu ni ngumu anaweza kutafuta kick yote kupoteza huo upepo , ila sijui ataweza vipi kuwatoa watu katika hiyo story [emoji3][emoji3][emoji3]

Daahh Ila wasanii wa bongo na haya makiki yao wanaharibu tasnia Sasa aisee
 
Back
Top Bottom