Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.

Screenshot 2024-08-30 091735.png
 
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.

Anatafuta tu attention yaani wasanii wa Bongo wana mambo ya kipuuzi puuzi sana.
 
Wasanii wabongo hawa heshimiani,hamna anaye jiona mdogo kila mtu mkubwa,kila mtu anaamini ngoma yake ni hit ya kitaifa.Ndio maana hizo tuzo hazina maana siku hizi..... Kama sikosei hata Mario juzi juzi alizilalamikia hizo tuzo.
Waandaaji wanaangalia pdm
 
Back
Top Bottom