Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

Huyo keshajua hapati kitu,kaona kuliko wenzie kupata ni heri aharibu shughuli huku akipata kiki....nina miaka mingi sijawahi kusikia wimbo wake tangu atoke Wasafi.
 
Tuzo hizi ameandaliwa Ali Kiba, nyi subirini muone.
 
Rayvanny angerudi Wasafi. For two years hana hit hata moja instead ameamua ku-simp kwa wasanii wengine kufanya remix.

Hii hashtag yake ya Global Way inamgharimu
Aliyefanikiwa kutoka Wasafi aka-shine ni Harmonize pekee. Hao wengine wanajitafuta tu
 
Hivi yupo sijasikia wimbo wake siku nyingi toka ule Yeyema....
 
Kujiendesha sio jambo dogo, ndio maana wazee wengi wakistaafu wanaishi muda mchache baada ya kiinua mgongo kuisha
 
Mwaisa akubal tu upepo umekata anafuata nyayo za jay mo kila ngoma kal akitoa anapaisha
 
Back
Top Bottom