mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
wasafi ni chuo cha mziki mkuuoHuyu jamaa alikuw vzr sana sijui nini kimemkuta.
Alivyoondoka Wasafi akaanza kuchanganyikiwa.Huyu jamaa alikuw vzr sana sijui nini kimemkuta.
Anatafuta tu attention yaani wasanii wa Bongo wana mambo ya kipuuzi puuzi sana.Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.
Kwamba ameshathibitisha yeye ni greatest of all time!ππAm out π π.
Kwamba kwa mujibu wake, hizo ndio hit songs zake πIla Rayvan jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3083026
Kama hizo ndio hitsongs za rayvan mwaka 2023 basi kazi ipoIla Rayvan jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3083026
Waandaaji wanaangalia pdmWasanii wabongo hawa heshimiani,hamna anaye jiona mdogo kila mtu mkubwa,kila mtu anaamini ngoma yake ni hit ya kitaifa.Ndio maana hizo tuzo hazina maana siku hizi..... Kama sikosei hata Mario juzi juzi alizilalamikia hizo tuzo.