Rayvanny atwaa tuzo ya BET

hahaha
kuna reporter wangu alikuwa ana ku watch kimya kimya
akaona unafanya sherehe tu kipind spo [emoji23]
Hahaha amekudanganya niliomboleza jaman na kihuzunika [emoji17] [emoji17] [emoji17]

Glad umerud though [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Sipati picha hii tuzo angeshinda mmakonde...hongera ray
 
Dogo mkali sana hongera kwake na menejimenti yake pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…