Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Rayvanny atwaa tuzo ya BET

hiyo tuzo kapewa tu...hivi unawezaje kushinda tuzo ya best new international act wakati hujafanya kolabo na msanii wa nje...

freemasony hawa
 
hiyo tuzo kapewa tu...hivi unawezaje kushinda tuzo ya best new international act wakati hujafanya kolabo na msanii wa nje...

freemasony hawa
Kumbe kufanya collabo na msanii wa nje ndo kigezo cha kushinda BET ?
 
Yupo umu hongera dogo vanny endelea kukaza tanzania fireee[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sielewi hiyo tuzo kuchukua kwa kigezo kipi!
Naanza kuamini kua tuzo zinanunuliwa
 
Ukitaka kurwlax hapa bongo anzisha mashindano halafu watakuja kutaka kununua tuzo, wewe unakunja mkwanja na ruzo wameilipia wenyewe viingilio ukumbini faida yako
 
Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu
Exactly.
 
Back
Top Bottom