Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kufanya collabo na msanii wa nje ndo kigezo cha kushinda BET ?hiyo tuzo kapewa tu...hivi unawezaje kushinda tuzo ya best new international act wakati hujafanya kolabo na msanii wa nje...
freemasony hawa
Cc. Boniface Jacob[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumpe mtaa sasa jamani kah... Au hata Magajawa....!!
Kwa hiyo haitoki moyoni? mbona mdogo wetu anatuwakilisha vema?KWAKUWA TUNATOKA WOTE MBEYA BASI HONGERA ZAKE
yeah anafanya vyema sana MBEYA STANDY UPKwa hiyo haitoki moyoni? mbona mdogo wetu anatuwakilisha vema?
Exactly.Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu
Congrats kwake, na ni njia nzuri ya kukaza zaidi na kufikisha mziki wa Bongo ulaya na World at large, awe kwenye level za Diamond Platnum, AY na KingKiba
Hongera sana kijana hanaga makuu