Rayvanny awa msanii pekee toka Africa Mashariki kupata nomination za BET Awards 2017

Rayvanny awa msanii pekee toka Africa Mashariki kupata nomination za BET Awards 2017

Hata mimi hapo nimewaona kina Beyonce tu, jamani tunampenda Rayvany boy lakini hizo habari za viblog uchwara visituchanganye
sasa uoni ya beyonce n tofauti na hii ya kina rayvanny hii n internationa viweres choice awards ndo maana umeona wapo wasani toka mabara tofauti
wakat ya kina beyonce n coca cola choice viweres awards
 
kwny category hii kwa reference ya mwaka juzi alipochukua eddy kenzo na mwaka jana alichukua falz walikuwa wanavote kupitia social networks through hashtags so unandika [HASHTAG]#Ipickrayvanny[/HASHTAG]
Mkuu si uweke link usitumie nguvu Sana kwenye mitandao weka linkkkkk
 
Umefuata nini kwenye huu uzi
Nashabikia kila aina ya mziki uujuao wewe
Kwanzia Singeli Mpaka Hip hop
Kwahiyo kama mziki wake sijawahi kuusikia nilazimishe?
Siijui miziki yake sasa[emoji23].. ingekua imehit kiivo ningeijua
mbona mingine tumeiona Amarula,My woman nk
 
Hata mimi siujui, kwani hapa tunamzungumzia nani?
 
Naona hadi cookie wa the empire yupo kwenye hizo tuzo..namkubal sana yule bidada
 
Vanny bway hongera zake dogo huyu dogo atafika anapo taka hana uswahili
 
salam ndoa anawadanganya humo insta
naona sallam anazidi kutudaganya na kafanya photoshop safari hii
02ebaa9514e67363fbe8e96d09fba9d3.jpg
 
Back
Top Bottom