sasa uoni ya beyonce n tofauti na hii ya kina rayvanny hii n internationa viweres choice awards ndo maana umeona wapo wasani toka mabara tofautiHata mimi hapo nimewaona kina Beyonce tu, jamani tunampenda Rayvany boy lakini hizo habari za viblog uchwara visituchanganye
kwny category hii kwa reference ya mwaka juzi alipochukua eddy kenzo na mwaka jana alichukua falz walikuwa wanavote kupitia social networks through hashtags so unandika [HASHTAG]#Ipickrayvanny[/HASHTAG]BET Awards 2017 | Coca-Cola Viewers' Choice Award | Nominees According to this Link (URL) hayupo,embu tupe hiyo ya kwako tukapige kura faster
Kama huijui dance for me basi wewe kashabikie nyimbo za makirikirisizijui
Mkuu si uweke link usitumie nguvu Sana kwenye mitandao weka linkkkkkkwny category hii kwa reference ya mwaka juzi alipochukua eddy kenzo na mwaka jana alichukua falz walikuwa wanavote kupitia social networks through hashtags so unandika [HASHTAG]#Ipickrayvanny[/HASHTAG]
Dah!!! Jamaa namwelewa sana hasa kwenye legs off.Hongera zake..
International/Africa wamejaza wapopo
hivi huyo Mr eaz anaimba nyimbo gani?
Eeh mimi Shabiki wa makirikiri sana wimbo wao wa SananapoKama huijui dance for me basi wewe kashabikie nyimbo za makirikiri
Umefuata nini kwenye huu uziEeh mimi Shabiki wa makirikiri sana wimbo wao wa Sananapo
Nashabikia kila aina ya mziki uujuao weweUmefuata nini kwenye huu uzi
Hata mimi siujui, kwani hapa tunamzungumzia nani?Nashabikia kila aina ya mziki uujuao wewe
Kwanzia Singeli Mpaka Hip hop
Kwahiyo kama mziki wake sijawahi kuusikia nilazimishe?
Siijui miziki yake sasa[emoji23].. ingekua imehit kiivo ningeijua
mbona mingine tumeiona Amarula,My woman nk
ha ha ha aisee!!Kama huijui dance for me basi wewe kashabikie nyimbo za makirikiri