Leta hapa na Only one kingView attachment 2237068
View attachment 2237069
Hapo kuna mtu kamzidi mwenzie likes ila kuuza bado sana pamoja na kutumia jina la kajala Ila bado anakimbizwa.
Nb: Hizo ni projects zao za mwisho, mmoja Ep ya nyimbo 9 mwingine ana album yenye nyimbo 20 zingine za kumtukana chui na simba.
Kumbe watu wanaongea kwa namba sio kusikika mtaaniView attachment 2237068
View attachment 2237069
Hapo kuna mtu kamzidi mwenzie likes ila kuuza bado sana pamoja na kutumia jina la kajala Ila bado anakimbizwa.
Nb: Hizo ni projects zao za mwisho, mmoja Ep ya nyimbo 9 mwingine ana album yenye nyimbo 20 zingine za kumtukana chui na simba.
Hiyo boomplay ikoje sijawahi ifahamu..STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿
Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay akifatiwa na Diamond.
Baada ya hapo anafatia Mbosso, then Zuchu alafu wa tano Harmonize.
View attachment 2236054
Kama hauifahamu boomplay mpaka leo utakuwa sio mtu wa burudani mkuuHiyo boomplay ikoje sijawahi ifahamu..
Mbona still bado EP ya Vanny still inakimbiza, album ya Kiba ina stream boomplay zaidi ya 35+m,imetoka mwezi wa kumi ina nyimbo 16.Leta hapa na Only one king
Kuchangia mada si kuwaunga mkonoLakini upo kwenye jukwaa lao unachangia mada.
Hapo sawaKama hauifahamu boomplay mpaka leo utakuwa sio mtu wa burudani mkuu