Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.

Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo.

Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million kwenye spotify.

Album ya Sound from Africa imefikisha streams 8 millions uko mjini Boomplay.

Tuliwaambia hapa wale mashabiki kaukau hii album ya Ray ni international iiish, ngoma zenu mlioenda shule na visoda shingoni zipo chache sana au hakuna kabisa ni album ya kupiga pesa hamkuelewa sasa namba zinazungumza.

Rayvanny anatutoa kimasomaso international.

Screenshot_20210429-115922_Instagram.jpg
 
Kumbe kundi zima lashindana na mtu 1
 
8m kwa Nyimbo 23 ni sawa
Mbona Zuchu EP Yake Ina Nyimbo 8 na ana 10m Ila underground harmonize na album ya niymbo 18 ana 2.1m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3578][emoji3578][emoji3578] ko kigezo sio wingi Wala uchache Ila Ni MZIKI MZURI na TUNGO zimezo shiba
 
kwaiyo ndo kusema na bifu liendelee au?
 
Mbona Zuchu EP Yake Ina Nyimbo 8 na ana 10m Ila underground harmonize na album ya niymbo 18 ana 2.1m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3578][emoji3578][emoji3578] ko kigezo sio wingi Wala uchache Ila Ni MZIKI MZURI na TUNGO zimezo shiba
'Ko' [emoji124][emoji124][emoji124]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
ATTITUDE inawakosesha usingizi, na bado hadi mtoke jasho la pvmbu.
 
oya oya patitude yenyewe ina viewers milioni 6 na chenji na haina hata wiki mbili, huyo reivani ndio milioni nane toka Februari🤣🐒
 
Uwezo wa rayvan ni mkubwa mara kumi kwa hamonaiz.
Kumbuka hii hesabu 🤣🤸
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
 
Yawe Yawe

Oya party today i want to show you my attitude

Mtazd kutusema kumbe ndo mnatupatia a huge chance to the worldwide

#KONDEGANG
 
Kumbuka hii hesabu [emoji1787][emoji1732]
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
.
JamiiForums-1788734357.jpg
 
Kumbuka hii hesabu 🤣🤸
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Hii ni katika ulimwengu wako wa kufikirika.
 
Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.

Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo.

Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million kwenye spotify.

Album ya Sound from Africa imefikisha streams 8 millions uko mjini Boomplay.

Tuliwaambia hapa wale mashabiki kaukau hii album ya Ray ni international iiish, ngoma zenu mlioenda shule na visoda shingoni zipo chache sana au hakuna kabisa ni album ya kupiga pesa hamkuelewa sasa namba zinazungumza.

Rayvanny anatutoa kimasomaso international.

View attachment 1767766
Hongera, nilishangaa kusikia davido album yake kwenye hizi platform zite ina stream zaidi ya milioni 400 spotify tu in streams milioni 105.
Jana nikaona Drake spotify tu mwaka jana katengeneza bils tzs 45.
Sisi bado tunapambana ki East Africa nadhan. Sijajua Barnaboy
 
Kumbuka hii hesabu [emoji1787][emoji1732]
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Umejua kunifurahisha mno.
 
Chawa WCB wanazidi kuweweseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom