Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

sasa Kama ni hivo basi haina dili kabisa hata upate views wengi kiasi gani.!
Ina deal drake juz nimeskia spotify tu kaingiza bils 45, davido album yake spotify imesikilizwa mara 105 mils kwa kutumia rate ya 0.006$ per playa ameingiza about $630,000+ hizo ni kama billion na nusu za kibongo, bado kwingine maana mpaka sasa kwenye streaming platforms imesikilizwa mara milion 400
 
sasa Kama ni hivo basi haina dili kabisa hata upate views wengi kiasi gani.!
Na kimsingi inalipa zaidi youtube. Maana artist atapata between $6-8.5 per 1000 play kitu ambacho YT ni ngumu
 
Shida ni kwamba spotify msanii analipwa $0.006-0.0084 per play.
Yeah na kwa rate hiyo hiyo per play watu wanapiga mkwanja,ni kipiga kazi za kuvutia ili kupata namba kubwa na kipato kitakuwa ni cha kueleweka.
Point ilikuwa ni kuangalia nani anauza sana, yaani tunawashindanisha ili tuone wanazidiana vipi kwenye mauzo kwahivyo ukitaka kujua kiasi kila mmoja mauzo yake yalichotengeneza that's another issue.
 
Mzee inamana mpka leo hujui kutofautisha kati ya boom play na youtube??
 
Back
Top Bottom